Uwasilishaji Maxim
Kipato cha kila siku kwa tarishi
Wasilisha bidhaa, vyakula, na vifurushi 
kwa mguu au kwa skuta, baiskeli, au gari.
Kazi rahisi inayolingana na ratiba yako.
JisajiliTumia programu ya Taxsee Driver
Vigezo na masharti wazi
- Kusimamia vizuri vifurushi ni msingi wa kipato imara.
- Tarishi wapole, waliovaa vizuri mara nyingi hupata bakshishi.
- Utahitaji uwe na simu janja yenye mpango wa data ili upate pesa.
- Hakuna umuhimu wa mahojiano 
- Fanya kazi katika ratiba inayoweza kubadilika 
- Tumia programu yetu ya kisasa zaidi 
- Kuwa wa kuwasiliana na watu 
- Mara zote uwahi 
- Fahamu mji